WASANII WALIVYOFUNIKA KILI MUSIC FESTIVAL
Tamasha hilo lililojumuisha wasanii walionyakua tuzo za Kilimanjaro Music Awards mwaka huu, lilikuwa la kipekee zaidi kwa wasanii kuonesha ubunifu wa hali ya juu katika kulitawala jukwaa na kupangilia shoo zao huku muziki wa 'live band' ukitawala.
Baadhi ya wasanii waliotumbuiza katika tamasha hilo ni pamoja na waimbaji wa bendi ya Mapacha Watatu, Navy Kenzo, The Core, Ben Pol, Ruby, Maua, Damian Soul, Vanessa na wengineo.
(Habari/Picha: Chande Abdallah, Boniface Ngumije na Gabriel Ng’osha/ GPL)
No comments:
Post a Comment