MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA MAGHALA MAWILI YA KUHIFADHIA BIDHAA KTK BANDARI YA KASANGA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Jiwe la Msingi katika moja ya jengo kati ya mawili ya Maghala
ya kuhifadhia Bidhaa yaliyopo katika Bandari ya Kasanga, kijiji cha
Lusambo Wilaya ya Sumbawanga, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa
Katavi na Rukwa jana februari 23, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea kukagua maeneo ya kufanyia biashara ya baadhi ya
wafanyabiashara wa samaki katika Soko la Samaki la Kasanga, baada ya
kuweka jiwe la msingi katika soko hilo akiwa katika ziara yake ya Mkoa
wa Katavi na Rukwa, jana Februari 23, 2012.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na kuwaaga wananchi wa Kijiji cha Lusambo waliojitokeza
katika mapokezi yake alipofika kuweka jiwe la msingi katika Soko la
Kasanga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na Rukwa jana
februari 23, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozwa na Luteni Godfrey Semiono (Mkuu wa Kambi) kukagua kikosi cha
Ulinzi wa Mipaka cha Kasanga kilichopo katika kijiji cha Lusambo,
pembezoni mwa Wilaya ya Sumbawanga, wakati alipofika eneo hilo kwa ajili
ya kuzindua maghala ya kuhifadhia bidhaa katika Bandari ya Kasanga jana
Februari 23, 2012, wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Katavi na
Rukwa. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment