Header Ads

MSHINDI DROO YA TATU EXIM APATIKANA

Meneja Utendaji na Huduma kwa wateja Benki ya Exim Tanzania tawi la makao makuu jijini Dar es Salaam, Bw. Lugano Kapologwe(kulia), akikabidhi zawadi ya simu aina ya iPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya tatu ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw DileshKumar Solanki (kushoto) katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye tawi hilo jana.

No comments:

Powered by Blogger.