Waziri wa Mazingira atembelea kiwanda cha TBL na Coca Cola jijini Mwanza leo
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng. Binilithi Satano Mahenge
wa pili (kulia), akiwa katika ziara yake ya kukagua mazingira ya Kiwanda
cha bia (TBL) kilichopo kata ya Pasiasi wilaya ya Ilemela mkoani
Mwanza, na wa pili (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Eng. Angelina Madete,wakati maadhimisho ya siku ya Mazingira
Duniani yakiendelea jijini Mwanza.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais -Mazingira, Mh. Dk. Eng. Binilithi
Satano Mahenge wa tatu (kulia)akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa
wafanyakazi wa kiwanda cha bia bw. Said Lwambo wa kwanza (kushoto) juu
ya jinsi mashine za Majitaka za kiwanda cha TBL kinavyofanya kazi na
kulinda Mazingira.
Mh.
waziri wa Nchi Ofisi ya makamu wa Rais -Mazingira,Dk. Eng. Binilithi
Satano Mahenge wa kwanza (kulia), Naibu Waziri Mh. Ummy Mwalimu wa
kwanza (kushoto)na Mkuu wa Mkoa Eng. Everist Ndikilo wa pili (kulia)
wakizungumza na mmiliki wa Kiwanda cha Coca Cola (Nyanza bottling) Bw.
Christopher Mwita Chuma baada ya kuwasili ofisini kwake leo jijini
Mwanza.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu wa kwanza
(kushoto)akiwa anafanya usafi eneo la mtaa wa Pamba A jijini Mwanza
stendi ya zamani.
No comments:
Post a Comment