Taswira Za Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni Mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali, Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 12, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, Bungeni Mjini Dodoma Desemba 12, 2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola nje ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Desemba 12, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment