Header Ads

Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akutana na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuzungumzia Masuala ya Gasi

Bw. Albert Zeufack Mtaalamu toka Benki ya Dunia akiwasilisha taarifa ya kuhusu Masuala ya GasiKamishna  Msaidizi anayesimamia masuala ya Gasi Asilia  Engineer Nobert Kahyoza akitoa ufafanuzi wakati wa kikao hicho. Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Profesa Sospeter Muhongo,Baadhi ya Wajumbe kutoka Benki ya Dunia na Watendaji wa Wizara wakifuatilia  taarifa  iliyowasilishwa kuhusu masuala ya Gasi wakati wa kikao baina yao. 

Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Profesa Sospeter Muhongo amekutana na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuzungumzia Masuala ya Gasi nchini. Picha  na ( Asteria Muhozya – Nishati na Madini)

No comments:

Powered by Blogger.