Header Ads

BALOZI SEFUE AZINDUA TIMU YA WATAALAMU WAZALENDO WA SEKTA YA MALIASILI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizindua Timu ya Wataalamu wa Tanzania wa Kushughulikia Mkataba wa Maliasili.2
Profesa Paul Collier Mtaalamu wa Msuala ya Uchumi na Sera wa Kimataifa akiwawasilisha mada.
3
. Profesa Paul Collier Mtaalamu wa Msuala ya Uchumi na Sera wa Kimataifa akiwawasilisha mada wanaomsikiliza na wataalam walioshiriki katika uzinduzi huo .
4
Mkuu wa Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI, Dennis Rweyemamu akiwasilisha mada juu ya Programu ya Mkataba wa Maliasili za Tanzania.5
Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya nchini Tanzania Filiberto Cerian Sebregondi akiuliza swali kwa wawasilishaji mada.6
Mwakilishi wa Benki ya Dunia Dk. Albert Zeufack akichangia mada.7
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akitoa taarifa fupi kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) baada ya kuzindua timu hiyo.Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mku wa Taasisi ya UONGOZI, Profesa Joseph Semboja.
Picha zote na Hussein Makame

No comments:

Powered by Blogger.