UNESCO yaahidi kuendelea kusaidia sekta za Habari na Utamaduni
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa
UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues alipomtembelea ofisini kwake leo jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa
UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa
UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akizungumza na Mkurugenzi
Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kushoto) alipomtembelea ofisini
kwake leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Afisa Habari wa UNESCO Bi.
Nancy Kaizirege (mwenye nguo ya dhambarau).PICHA NA FRANK SHIJA, WHUSM
No comments:
Post a Comment