Picha;Aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Amir Pandu Kificho akimkaribisha kwenye kiti, Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge,Samuel Sitta baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo, bungeni Dodoma jana

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Amir Pandu
Kificho akimkaribisha kwenye kiti, Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge hilo,
Samuel Sitta baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo, bungeni Dodoma
jana. Picha na Emmanuel Herman
No comments:
Post a Comment