SSRA YAANZA KUPOKEA MALALAMIKO YA WANACHAMA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI
Mkurugenzi
wa Tafiti,Tathmini na Sera wa Mamalaka ya Usimamizi na Udhibiti wa
Sekta ya Hifadhi ya Jamii Bw. Ansgar Mushi akitoa wito kwa wanachama wa
Mifuko ya hifadhi za jamii kote nchini kutohama mfuko wanaokuwa
wanachangia mara wanapohama kutoka Taasisi moja kwenda nyingine.
Afisa
Tehama toka Mamalaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya
Jamii Bw. Ernest Masaka akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu utaratibu
wa mamalaka hiyo kupokea malalamiko kutoka kwa wateja wa mifuko ya
hifadhi za jamii kwa njia ya mtandao wa simu kupitia namba 0762440706
ambapo mamlaka hiyo imepanua wigo wa kushughulikia matatizo ya wanachama
kwa wakati muafaka mara yanapowasilishwa.kulia ni Afisa Uhusiano wa
Mamlaka hiyo Bi. Agnes Lubuva na Kushoto ni Mkurugenzi wa
Tafiti,Tathmini na Sera wa Mamalaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya
Hifadhi ya Jamii Bw. Ansgar Mushi.
No comments:
Post a Comment