NAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI AFANYA ZIARA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA)
Msimamizi
wa Mifumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Ami Mohamed
(kulia), akimuonyesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Balozi Simba Yahya (kushoto), jinsi taswira ya muombaji
kitambulisho inavyohifadhiwa kwenye mfumo ili kuwezesha kuiweka kwenye
kitambulisho. Naibu Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya kutembelea
Mamlaka hiyo mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya
(kulia),akiuliza swali baada ya kupata maelezo kutoka kwa Afisa Usajili
wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Noel Chikwindo (kushoto),
Naibu Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya kutembelea Mamlaka hiyo
mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya
(aliyenyooshamkono), akifuatilia kwaumakini uhakiki wa taarifa za
muombaji wa Kitambulisho cha Utaifa, wakati alipotembelea kitengo cha
Uhakiki waTaarifa cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Kulia ni
Mkurugenzi wa Uzalishaji Vitambulisho, Paul Bwathondi .Naibu Katibu
Mkuu alikuwa kwenye ziara ya kutembelea Mamlaka hiyo mwishoni mwa wiki,
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Uzalishaji Vitambulisho wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA),
Paul Bwathondi (kulia), akitoa ufafanuzi kwa Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya (watatu kutoka
kulia waliosimama), Naibu Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya kutembelea
Mamlaka hiyo mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya
(kulia), akielezea jambo wakati alipotembelea Kitengo cha kudhibiti
ubora wa Vitambulisho vya Taifa, kilichopo kwenye Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA),Katikati ni Mkurugenzi wa Uzalishaji
Vitambulisho, Paul Bwathondi na kushoto ni Afisa Usajili
anayeshughulikia ubora, Jemima Mulokozi. Naibu Katibu Mkuu alikuwa
kwenye ziara ya kutembelea Mamlaka hiyo mwishoni mwa wiki, jijini Dar es
Salaam.
Afisa
Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), anayeshughulikia
ubora, Jemima Mulokozi (kushoto), akimuelezea Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya (kushoto), jinsi
wanavyothibiti ubora wa Kitambulisho cha Utaifa kabla
akijachapishwa.Naibu Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya kutembelea
Mamlaka hiyo mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam.( (Picha zote na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya
(katikati), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho
vya Taifa (NIDA), Dickson Mwaimu (kulia), wakati alipotembelea kituo cha
kumbukumbu cha Mamlaka hiyo, mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam.
Kushotoni Mkurugenzi wa Uzalishaji Vitambulisho (NIDA), Paul Bwathondi.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Mwaimu
(kushoto),akimuongoza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
NdaniyaNchi, Balozi Simba Yahya (kulia),kutembelea ofisi za Mamlaka hiyo
zilizopo Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, mwishonimwa wiki ,jijini Dar es
Salaam. Naibu Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya kuona jinsi shughuli
zaUchapaji na Uzalishaji wa Vitambulisho vya Utaifa zinavyofanyika
No comments:
Post a Comment