SHUGHULI MBALIMBALIZA WAZIRI MKUU MAJLIWA BUNGENI
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunhe kwenye jengo la utawala la
Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016. Kutoka kushoto ni Dkt. Raphael
Chegeni wa Busega, Adadi Rajabu wa Mhuheza na Jason Rweikiza wa Bukoba
Vijijini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majlaliwa akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge
Ofisini kwake mjini Dodoma Januari 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busega, Dkt.Raphael
Chegeni kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment