MAELFU YA RAIA WAPYA WA TANZANIA WAKIPEWA VYETI VYAO KATIKA MAKAZI YA MISHAMO, MPANDA.
Mkuu
wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile akizungumza na maofisa wake
(kushoto) kabla ya kuanza kugawa vyeti vya uraia kwa raia wapya wa
Tanzania kijijini Ilangu katika Makazi ya Mishamo, yaliyopo wilayani ya
Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya
Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka
1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania.
Hata hivyo, Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la
ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya
Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika la
Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti
hiyo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Afisa
Uhamiaji, Philimon Msenya (kushoto) akichukua alama ya vidole kwa raia
mpya wa Tanzania, Bukuru Yohana kabla ya kupewa cheti chake cha uraia
katika ugawaji wa vyeti hivyo kwa raia wapya zaidi ya 52,565 katika
Makazi ya Mishamo yaliyopo wilayani ya Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi.
Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu
waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na
kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili
kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi ya
Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti
hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa
ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la
Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkuu
wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile akizungumza na wazee wa Kijiji
cha Ilangu katika Makazi hayo, ambao ni raia wapya wa Tanzania wakati
wakisubiria kupewa vyeti vyao vya uraia. Wazee hao wametengewa sehemu
maalum ili kupewa kipaumbele kutokana na umri wao ili waweze kupewa
vyeti hivyo kwa uharaka zaidi.
Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya
Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka
1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania.
Hata hivyo, Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la
ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya
Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika la
Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti
hiyo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Raia
wapya wa Tanzania wa Kijiji cha Ilangu katika Makazi ya Mishamo, wakiwa
wameweka foleni ndefu ili waweze kugawiwa vyeti vyao vya uraia kijijini
hapo, wilayani Mpanda Vijijini, mkoani Katavi, leo. Zaidi ya watu
152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa
wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti
hivyo kama raia wapya wa Tanzania.
Hata hivyo, Makazi ya Katumba na
Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa
ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya
Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi
(UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Operesheni wa Idara ya Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Stephen Daniel (kushoto) akiwaelekeza raia wapya wa Tanzania katika
Kijiji cha Ilangu, Makazi ya Mishamo, kuwasilisha vyeti vya kliniki vya
watoto wao ili waweze watoto wao kuwekwa kwenye kumbukumbu ya Serikali.
Watoto wote waliozaliwa baada ya mwaka 2010 ni raia wa Tanzania wa
kuzaliwa, hivyo hawatapewa vyeti vya uraia kama wanavyopewa wazazi wao.
Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu
waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na
kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili
kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania.
Hata hivyo, Makazi ya
Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti
hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa
ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la
Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment