RAIS JAKAYA KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM, AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI
jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe
Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi
hiyo.


No comments:
Post a Comment