Rais Jakaya Kikwete anatarijiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya sheria nchini (Law Day) itakayofanyika Februari 4, 2015, katika viwanja vya mahakamavilivyopo mtaa wa Chimala jijini Dar es salaam.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande (Kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu
maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini mwaka 2015. Maadhimisho hayo
yanaongozwa na maudhui yasemayo “ Fursa ya kupata haki: wajibu wa
Serikali, Mahakama na wadau”. Kushoto ni Mh. Hussein Kattanga, Mtendaji
Mkuu wa Mahakama. Picha na Aron Msigwa -MAELEZO.
---
Na. Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete anatarijiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya sheria nchini (Law Day) itakayofanyika Februari 4, 2015, katika viwanja vya mahakama vilivyopo mtaa wa Chimala jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment