Header Ads

BREAAAAKING NEWSSS.....,AJALI YA MOTO YATOKEA MWANANYAMALA MAENEO YA SHULE



MOTO umeibuka mchana wa leo katika nyumba iliyopo maeneo Mwananyamala B karibu na maeneo ya shuleni, jijini Dar es Salaam,Nakuteketeza sehemu kubwa ya jengo hilo na baadhi ya mali zilizokuwemo ndani yake.
Chanzo halisi cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja ingawa inadaiwa kuwa huenda ilikuwa ni shoti ya umeme  katika nyumba hiyo. Hakuna mtu yeyote aliyedhurika na moto huo.

No comments:

Powered by Blogger.