JANUARY MAKAMBA NA NDOTO ZA VITUO VYA MICHEZO VYA KANDA

Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mbunge wa Bumbuli na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Masoko ya Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF) ambaye hivi karibuni pia ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa January
Makamba
---
Na Mwandishi Wetu, Dar
Mbunge wa Bumbuli na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Masoko ya Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF) ambaye hivi karibuni pia ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa January
Makamba hivi karibuni ameainisha adhma yake ya kuinua kiwango cha michezo
nchini.
Azma hizo zimo katika katika mazungumzo yake na Padre Privatus
Karugendo ambayo yamechapishwa katika kitabu ambacho gazeti hili imekipata nakala
yake ambapo ameainisha azma ya kujenga vitua vya michezo vya kanda vyenye hadhi
ya kiolimpiki.
No comments:
Post a Comment