Picha Rasmi kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo wakati akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore Maryland nchini Marekani

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo wakati
akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Johns Hopkins huko
Baltimore Maryland nchini Marekani Jana.Picha na Freddy Maro -IKULU
No comments:
Post a Comment