RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ALIPOSHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA JANA
Rais
wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda
akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa
Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata
kabla ya maziko yake kufanyika jana
Rais wa Bunge la SADC na ambaye ni
Spika wa Bunge la Tanzania akiondoka katika viwanja vya Bunge la Zambia
na Mwenyeji wake Dkt. Patrick Matibini, Spika wa Bunge la Zambia.
Rais
wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda
akisalimiana na Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda mara baada
ya Kuwasili katika Viwanja vya Bunge kushiriki Misa hiyo.
Aliyekuwa
Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda akimpokea Rais wa
Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda
alipowasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa
Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata
kabla ya maziko yake kufanyika jana
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia
marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia juzi
tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika jana
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia
marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa
Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akishiriki Misa Maalum ya kumwombea
aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Sata katika viwanja vya Bunge la
Zambia . Mwili wa Marehemu Sata unatarajia kuzikwa jana mjini
Lusaka.
No comments:
Post a Comment