Picha:Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue akutana na ujumbe toka Millenium Challenge Corporation (MCC)IKULU Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue (kulia) akiongea na Mjumbe toka Millenium
Chalenge Corporation (MCC) ya nchini Marekani leo Ikulu jijini Dar es
Salaam kujadili miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya umeme
nchini.
|
Baadhi
ya wajumbe toka Millenium Challenge Corporation (MCC) toka nchini
Marekani pamoja na wajumbe wengine toka serikalini wakifuatilia ajenda
ya mkutano huo leo Ikulu jijini Dar es Salaam.Picha zote na Benedict
Liwenga
No comments:
Post a Comment