Rais Kikwete apewa Tuzo Ya Uongozi Bora nchini
Mkaguzi
na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange
kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji
wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi
wa wa kimataifa wa mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam
leo jioni.Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita
ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU,,Mamlaka ya
Udhibiti na Ununuzi wa Umma,Mamlaka ya udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya
jamii,Mkaguzi wa ndani Mkuu wa Serikali,na Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa umma (picha na FreddyMaro).
No comments:
Post a Comment