Picha Kutoka Bungeni Mjini Dodoma LEO:Mbunge wa Mwibara-CCM Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni Kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma LEO
Mbunge wa Mwibara Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014.
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment