Header Ads

MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII YATOA SEMINA KWA ASKARI POLISI MJINI MOSHI



Ofisa mnadhimu namba moja wa jeshi la polisi mkao wa Kilimanjaro SSP Koka Moita akichangia jambo wakati wa semina juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii iliyotolewa kwa maofisa wa jeshi hilo wa ngazi mbalimbali.
Kamanda wa polisi wa wilaya ya Moshi,OCD Deusdedit Kasindo akizungumza jambo wakati wa semina hiyo.
Viongozi wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia maelezo juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii.
Baadhi ya askari polisi wa wilaya ya Moshi wakifuatilia maelezo juu ya mifuko ya hifadhi za jamii. PICHA ZAIDI YA TUKIO HILI BOFYA HAPA

No comments:

Powered by Blogger.