MAMIA WAMZIKA MSANII MKONGWE WA MAIGIZO NCHINI SAID NGAMBA ALMAARUFU MZEE SMALL KATIKA MAKABURI YA SEGEREA
Msafara
wa magari na waendesha Bodaboda wakiwa katika barabara ya Segerea
Kinyerezi wakati wakielekea Makaburi ya Segerea kwaajili ya Kumpumzisha
Kwa Amani Mkongwe wa Sanaa ya Vichekesho Nchini Said Ngamba almaarufu
Mzee Small
Gari
lililobeba Mwili wa Marehemu Said Ngamba aka Mzee Small (la kwanza)
likiwa limesimama kwaajili ya Vijana kuubeba Mwili wake hadi kwenye
Makaburi ya Segerea jioni Hii
Vijana wakishusha jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Small kwaajili ya kuelekea kwenye Makaburi ya Segerea.
Vijana
wakiwa wamepanga mstari kuanzia Barabara ya Segerea Kinyerezi hadi
makaburini kwaajili ya kupokea jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Small
Vijana wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Small wakielekea kwenye Makaburi ya Segerea Jioni Hii.
Watu mbalimbali wakisubiri Mwili wa Marehemu kuwasili katika makaburi ya Segerea
Rais
wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba akiwasilika
katika eneo la Makaburi ya Segerea jioni hii kwaajili ya kumzika Mzee
Small
Mwili
wa Marehemu Mzee Small ukitolewa kwenye jeneza tayari kupumzishwa
katika Nyumba yake ya Milele katika makaburi ya Segerea.
Watu
mbalimbali wakiwasili kwenye makaburi ya Segerea kwaajili ya kumzika
Mzee Small. Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI»
No comments:
Post a Comment