TEAM YA VIJANA ZANZIBAR UK (UNDER 18) YAINGIA FINALI AFRICAN NATIONS CUP UK. KUCHEZA JUMAMOSI HII 14 JUNE 2014.
Vijana
wetu wa Timu ya Zanzibar Wanaoshiriki Africa Nations Cup -UK wenye
chini ya Umri wa miaka 18 wameingia Final Baada ya kuifunga Morocco 8-0
Jumamosi jioni. Final itakuwa Saturday, 14th. June, 2014 @3.00pm.
Barking FC Arena, Mayesbrook Park, Lodge Avenue, RM8 2JR - UK. Ticket
zinauzwa £5 Adult na £2 kwa watoto kwa maelezo Wasiliana na DJ Ommy kwa
number +44 7427 447902 na Jestina George +44 7557 304940
TUNAWAOMBA TUJITOKEZEE KWA WINGI KUWASUPPORT
No comments:
Post a Comment