PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS-IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI KWENYE HAFLA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA JILI YA MISITU YA MILIMA YA TOA YA MASHARIKI_HYATT REGENCT HOTEL DAR ES SALAAM
Makamu waRais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal
akimkabidhi picha iliyopigwa mnada Bw Robert Vyampiga wa( DECO) Baada ya
Kuinunua kwenye Harambe ya kuchangisha Fedha za Kuwezesha Uhifadhi wa
Misitu ya Milima ya Toa la Mashariki iliyafanyika kwenye Hotel ya Hyalt
Regency Jijini Dar es Salaam.(Picha OMR}
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib
Bilali akizindua Tovuti ya (EAMCEF)kwajili ya kuwezesha kuchangia kwa
njia ya mtandao kwenye,Hafla ya kuchangisha Fedha za Uhifadhi wa Misitu
ya Milima ya Toa ashariki iliyofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency,
Jijini Dar es Salaam.
MBM
0869 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal
akizungumza kwenye Hafla ya kuchangisha Fedha za kuwezesha Uhifadhi wa
misitu ya milima ya Toa la mashariki kwenye ahotel ya Hyatt Regency
Jijini Dar es salaam.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment