2014 MTV MAMA AWARDS PICHA ZA RED CARPET
Sherehe za Utoaji wa Tuzo za MTV
MAMA zimefikia tamati mjini Durban nchini Afrika kusini na kuhudhuriwa
na mastaa kibao kutoka sehemu mbalimbali Duniani waliopata nafasi ya
kutokelezea kwenye zulia jekundu maarufu kama Red Carpet. Watazame hapo
chini
French Montana
Trey Songz
PhynoMo’Cheddah ndani ya MAI Atafo
No comments:
Post a Comment