Header Ads

DIAMOND PLATNUMZ ASHINDWA KUFURUKUTA TUZO ZA MTV MAMA, NIGERIA YANG’ARA


Davido MTV MAMA
Davido akiwa ameshikilia Tuzo zake mbili, ya Msanii bora wa kiume pamoja na ya Msanii bora wa mwaka
Hatimaye washindi wa Tuzo kubwa kabisa  barani Afrika zijulikanazo kama MTV MAMA wametangazwa usiku wa leo  huku mwakilishi pekee toka nchini Tanzania Diamond Platnumz akishindwa kufurukuta katika vipengele viwili alivyokuwa akiwania licha ya kutoa shoo kabambe iliyowainua watu waliohudhuria sherehe hizo zilizofanyika mjini Durban nchini Afrika kusini.
Sherehe hizo zilipambwa na burudani ya aina yake toka kwa mchekeshaji maarufu wa Marekani Marlon Wayans aliyekuwa akihost shughuli hiyo sambamba na perfomance kutoka kwa wasanii wa kimataifa akiwemo  French Montana, Trey Songz, D’Banj pamoja na Miguel.
Hata hivyo Bendera ya Nigeria iliweza kupeperushwa vyema na wasanii wake walionyakuwa takribani ya Tuzo sita ikiwemo Tuzo ya Msanii bora wa mwaka na Msanii bora wa kiume alizochukua Davido,  Tuzo ya msanii bora wa kike ikienda kwa mwanadada Tiwa Savage,  Tuzo ya Mtayarishaji bora Video akiitwaa Clarence Peters aliyetengeneza video ya My Number One Remix.
Tiwa
Mwanamuziki toka nchini Nigeria, Tiwa Savage akiwa na Tuzo yake ya Msanii Bora wa kike

Msanii wa Hip Hop toka Ghana Sarkodie akiwa na Tuzo yake ya
Rapa wa Ghana Sarkodie akiwa na Tuzo yake ya Best  Hip Hop Act
Miguel
Wema na Diamond
DiaWema ndani ya nyumba
Trey Songz kwa jukwaaTrey Songs akishambulia jukwaa
French Montana akiperfom
Rapa French Montana akifanya yake jukwaani
Dbanj na Montana
French Montana jukwaani na D’banj pamoja na baadhi ya wasanii wa Nigeria na wa afrika kusini
Jukwa la MtVJukwaa La MTV MAMAJukwaa la MTV MAMA
Mambo ya MTV
Tazama hapo chini orodha nzima ya washindi wa Tuzo hizo na vipengele walivyokuwa wanawania..
Best Male:
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)  WINNER
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Best Female:
Arielle T (Gabon)
Chidinma (Nigeria)
DJ C’ndo (South Africa)
Efya (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria) WINNER
Best Group:
Big Nuz (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)  WINNER
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)
Best New Act:
Burna Boy (Nigeria)
Heavy K (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Stanley Enow (Cameroon)  WINNER
Uhuru (South Africa)
Best Live Act:
2face (Nigeria)
Fally Ipupa (DRC)
Flavour (Nigeria)    WINNER
Dr Malinga (South Africa)
Zakes Bantwini (South Africa)
Best Collaboration:
Amani ft. Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola) WINNER
Artist of the Year:
Davido (Nigeria) WINNER
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Uhuru (South Africa)
Song of the Year:
Davido- ‘Skelewu’ (Nigeria)
DJ Clock feat Beatenberg – ‘Pluto’ (Remember Me) (South Africa)
DJ Ganyani feat FB – ‘Xigubu’ (South Africa)
DJ Kent feat The Arrows –‘Spin My World Around’ (South Africa)
Dr Sid feat Don Jazzy – ‘Surulere’ (Nigeria)
KCee – ‘Limpopo’ (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa) WINNER
Mi Casa- ‘Jika’ (South Africa)
P Square – ‘Personally’ (Nigeria)
Yuri Da Cunha -‘Atchu Tchu Tcha’ (Angola)
Best Hip Hop:
AKA (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
Khuli Chana (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)  WINNER
Best Pop:
Danny K (South Africa)
Fuse ODG (Ghana)
Goldfish (South Africa) WINNER
LCNVL (South Africa)
Mathew Mole (South Africa)
Best Alternative:
Gangs of Ballet (South Africa)  WINNER
Michael Loman (South Africa)
Nakhane Toure (South Africa)
Parlotones (South Africa)
Shortstraw (South Africa)
Best Francophone:
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)    WINNER
Youssoupha (Congo)
Best Lusophone:
Anselmo Ralph (Angola) WINNER
JD (Angola)
Lizha James (Mozambique)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Yuri Da Cunha (Angola)
NON MUSIC CATEGORIES
Personality of the Year:
Chimamanda Adiche (Nigeria)
Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Lupita Nyong’o (Kenya)    WINNER
Yaya Toure (Cote d’Ivoire)
Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)   WINNER
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)

No comments:

Powered by Blogger.