IDADI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI NEPAL YAZIDI KUONGEZEKA
Wanajeshi
wa nchini Nepal wakiendelea kutafuta miili ya watu waliopoteza maisha
katika tetemeko la ardhi mjini Kathmand nchini Nepal.
Baadhi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika
katika tetemeko la ardhi mjini Kathmand nchini Nepal.
katika tetemeko la ardhi mjini Kathmand nchini Nepal.
Kwa msaada wa mtandao
MAMLAKA ya
nchini Nepal imesema kuwa zaidi ya watu 3300 wamesemekana kufairki dunia
kutokana na Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea jumamosi katika mji wa
Kathmandu nchini humo.
Waokoaji wanchi hiyo wamesema wanaendelea kuchunguza zaidi kwa kuyafikia maeneo ya mashamba
mbalimbali katika mji Kathmandu, inawezekana Idadi ya watu waliopoteza maisha kuwa
kubwa zaidi jinsi muda unavyozidi kwenda.
Mamia ya
watu wanaoishi karibu na milima inasemekana kuwa wameachwa bila makazi kutokana
na tetemeko la ardhi katika nchi hiyo.
Shirika la
umoja wa mataifa linalosimamia watoto (UNICEF) limesema kuwa kalibia watoto
milioni moja hawana mahala pakulala, wanakabiliwa na ukosefu wa maji safi pamoja na mazingira safi katika nchi
hiyo.
No comments:
Post a Comment