WAZIRI SAMIA SULUHU ATEMBELEA BANDARI YA ZANZIBAR
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata
Maelezo Kuhusu Upakuwaji wa Makontena katika Bandari ya Zanzibar kwa
Mkuu wa Mipango{ZPC]Ali Haji Haji wakati wa Ziara yake yakutembelea
Miradi ya Maendeleo, Kulia Kaimu Mkurugenzi wa Bandari Bw Msanifu Haji
Mussa na Maofisa wa Bandari ya Zanzibar[Picha na Ali Meja]
No comments:
Post a Comment