MVUA ILIYONYESHA JANA MAENEO YA IYUNGA MBEYA YAHARIBU BARABARA NA MIUNDO MBINU YA MAJI
Hii ni barabara ya kata ya kalobe jijini mbeya maji ya mvua yakiwa yanapita juu ya barbara hiyo huku magari yakisubiri kupungua wa kasi ya maji hayo ili yaweze kupita |
Hizi ni nyumba ambazo zipo pembezoni mwa mto kalobe zikiwa hatarini kukumbwa na mafuriko wakati wowote |
Nyumba hii ipo hatarini muda wowote kukumbwa na mafuriko. CHANZO;MBEYA YETU BLOG |
Bomba la maji safi likiwa limekatika baada ya kuangukiwa na moja ya kuta za nyumba zilizojengwa pembezoni mwa mto huo |
No comments:
Post a Comment