SHINDA TIKETI YA NDEGE NA TIGO
Meneja
Malipo ya Baada wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Aileen Meena
(kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es
Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa promosheni ya kupiga simu za kimataifa
ambapo mshindi mmoja atapata zawadi ya safari ya kwenda nchi aliyopiga
simu zaidi na washindi wengine 49 watapewa zawadi mbalimbali. Kulia ni
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro. Promosheni hiyo iliyoanza jana
kilele chake kitakuwa Aprili 22, mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Meneja Malipo ya Baada wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Aileen Meena
22 Februari, 2012, Dar es Salaam. Tigo imeanzisha promosheni ya kupiga simu za kimataifa ambapo mshindi mmoja atajishindia safari ya kwenda mahali alipopiga simu zaidi kama vile Canada,China,India,Uingereza na Marekani. Washindi wengine watajishindia begi la Tigo ambalo lina simu aina ya Ideos,tisheti,kibebeo cha ufunguo na kalamu.

Kati ya
Februari 22,2012 na Aprili 22,2012,wateja watakao tumia zaidi ya
shilingi 1,000 kupiga simu za kimataifa wataingia moja kwa moja kwenye
shindano. Jinsi unavyopiga simu za kimataifa zaidi kwa kutumia Tigo
ndivyo utakavyojiongezea nafasi ya kushinda.
“Kutokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye promosheni zilizopita,tumeamua kuwapa nafasi nyingine wateja wetu wa malipo ya kabla na baada kujishindia zawadi nono”alisema Alice Maro ambaye ni afisa uhusiano wa Tigo. “ Piga simu za kimataifa sasa na ushinde safari ya nje ya nchi”

Kutakuwa
na washindi 50 katika promosheni hii. Washindi 49 wa mwanzo
watajishindia begi la Tigo litakalokuwa na tisheti,kalamu,kibebeo cha
ufunguo pamoja na simu aina ya Ideos smart. Mshindi wa 50 atajishindia
zawadi kuu ambayo itakuwa ni tiketi ya ndege na fedha za
kujikimu.Mshindi atapewa maelekezo wakati wa mwisho wa maandalizi.
Tiketi
ya kurudia itakuwa ni daraja la pili (economy) na itakuwa imelipiwa
ikiwa kama sehemu ya zawadi. Tiketi itanunuliwa katika shirika ambalo
litachaguliwa na Tigo. Tigo haitahusika na ndege ambazo haijazichagua
kutumika katika shindano hili.
Washindi wote 50 watachaguliwa bila mpangilio maalum chini ya uangalizi wa msimamizi kutoka bodi ya michezo ya bahati nasibu. Wateja watajulishwa kupitia namba wanazozitumia kupiga simu za kimataifa. Washiriki wanatakiwa wawe na kitambulisho halali pamoja na pasipoti wakati wanaingia kwenye shindano. Washindi wote watazawadiwa mwisho wa promosheni.
Washiriki lazima wawe na umri wa miaka kumi na nane na kuendelea. Shindano hili ni kwa ajili ya raia wa Tanzania ambao ni wateja wa Tigo.
Kuhusu Tigo:

Tigo
ni mtandao wa simu za mkononi ya kwanza Tanzania, ilianza biashara
mwaka 1994 na ni mtandao wa simu Tanzania wenye ubunifu wa hali ya juu
na bei nafuu kupita zote nchini. Tigo ni sehemu ya MillicomInternational
Cellular S.A (MIC) na hutoa huduma za simu za mkononi kwa gharama nafuu
na inayopatikana maeneo mengi kiurahisi kwa wateja zaidi ya milioni 30
katika masoko 13 yanaoibuka Afrika na Amerika ya Kusini.
Msingi
wa mafanikio ya Tigo ni uzingatiaji wa mikakati mitatu ambao,ni Gharama
nafuu, Uwepo na Upatikanaji .Tunajenga dunia ambapo huduma za simu ni
za bei nafuu, zipo na zinapatikana kila mahali na kwa wote. Hii
inahakikisha kwamba wateja wetu wanapata huduma bora zaidi kwa bei nafuu
kuliko zote katika mikoa yetu 26, Tanzania Bara na Zanzibar.
Kwa taarifa zaidi tembelea: www.tigo.co.tz
Imetolewa na:
Alice Maro • PR-Tigo • Simu 255 715 554501
Kwa taarifa zaidi tembelea: www.tigo.co.tz
Imetolewa na:
Alice Maro • PR-Tigo • Simu 255 715 554501
No comments:
Post a Comment