PSPF Yatoa Msaada Shuleni Chalinze
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakigombania kukaa kwenye madawati mapya walioletewa na Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF.(Picha na Mpigapicha Wetu)
Kaimu
MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma
PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kulia) akizungumza na Wazazi na Wanafunzi
pamoja na Bodi ya Shule ya Msingi
Bwilingu,
Chalinze Mkoa wa Pwani wakati walipokwenda kukabidhi msaada wa
Madawati 60 yenye thamani ya milioni tatu kushoto Mwenyekiti wa Kamati
ya Shule, Bi. Anifa Kombo na Mjumbe wa Bodi ya PSPF Bw. Ramadhani
Maneno.(Picha na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment