Wachezaji
wa Simba wakiwania mpira katika mazoezi ya kujiandaa na mechi ya
marudiano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya SC Kiyovu ya
Rwanda, yaliyofanyika Uwanja wa Sigara Chang'ombe. Kulia ni Victor
Coster, Derick Walulya na Felix Sunzu.
Reviewed by
crispaseve
on
5:39 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment