RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA KUJADILI SOMALIA JIJINI LONDON LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Lancaster House jijini London leo
February 23, 2012 kijiunga na viongozi wa nchi mbalimbali katika mkutano
wa kujadili mstakabali wa nchi ya Somalia ambayo imekuwa katika
misukosuko kwa zaidi ya miaka 20 ambapo jumuiya ya kimatifa ikiongozwa
na Uingereza imepania kumaliza matatizo mbalimbali katika nchi hiyo
ikiwemo kutokuwa na serikali inayoeleweka, uharamia, ugaidi pamoja na
kujaribu kurudisha amani.
No comments:
Post a Comment