Header Ads

  KWELI TAMAA MBAYA!!!

MTUHUMIWA WA WIZI WA NYANYA


KIJANA GEORGE JULIAS AKIWA AMEJIHIFADHI NDANI YA STOO YA CHOO CHA STENDI KUU YA DALADALA YANENDAYO NJE YA MANISPAA YA MOROGORO ILI KUJINUSURU NA KIPIGO KUTOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA. 

KINAJA HUYO AKIWA AMELALA BAADA YA KUTOLEWA NDANI YA STOO ILI APUNGE UPEPO KUFUATIA KUPATA MKONG'OTO WA NGUVU KUTOKA KWA WANANCHI WALIOMTUHUMU KUIBA NYANYA KATIKA STENDI HIYO.
 ASKARI WA DORIA AKIMPELEKA KITUO KIKUU CHA POLISI CHA KATI KILICHOPO MTAA WA KITOPE ROAD KIJANA GEORGE JULIUS MARA BAADA YA KUPATA KIPIGO KUTOKA KWA WANANCHI AMBAO WALIKUWA NA HARISA KUFUATIA KUMTUHUMI KUIBA MFUKO WENYE NYANYA KATIKA STENDI KUU YA DALADALA YAENDAYO NJE YA MANISPAA YA MOROGORO.

No comments:

Powered by Blogger.