Header Ads

Taswira Za Kongamano la Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi

Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry Slaa,akihutubia kwenye Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
jumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry Slaa(kushoto)akimkabidhi cheti cha Shukrani katika kutumikia Chama Katibu wa UVCCM wa Wilaya ya Mjini Unguja, Mohamed Ali Khalfani wakati wa ufunguzi wa Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Mwenyekiti wa UVCCM wa Wilaya ya Mjini Unguja, Omary Justas Morris akihutubia kwenye Kongamano la Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.Katikati ni Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry Slaa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini Magharibi,Tauhida Cassian Galos.
Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry Slaa(kushoto),Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini Magharibi,Tauhida Cassian Galos(katikati)na Mjumbe wa halmashauri kuu,Hamadi Yusufu Masauni, wakipiga makofi wakati wa ufunguzi wa Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry Slaa(kushoto),akizungumza na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini Magharibi,Tauhida Cassian Galos wakati wa ufunguzi wa Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Wanachama wa umoja wa vijana(UVCCM)wakimtunza Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini Magharibi,Tauhida Cassian Galos(katikati)baada ya Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry Slaa(hayupopichani)kufungua rasmi Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana

No comments:

Powered by Blogger.