BIMA YA AFYA YA TAIFA (NHIF) WATOA MISAADA YA MASHUKA HOSPITALI TEULE YA MBEYA VIJIJINI (MBALIZI-IFISI) MBEYA NA NYINGINE, NI ISHARA YA KUJALI JAMII WAKATI WA KUTIMIZA MIAKA 10 TANGU WAANZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
WAGANGA WA HOSPITALI YA MBALIZI-IFISI (kulia), NA AFISA WA MFUKO HUO,
LEO ASUBUHI WAKIMSIKILIZA KAIMU MKURUGENZI WA MFUKO HUO TAIFA HAMIS
MDEE (kulia)
|
DR. FRANK LEKEY (aliyekaa)
AKIANGALIA MOJA YA MASHINE YA VIPIMO KATIKA HOSPITALI TEULE YA WILAYA
YA MBEYA (MBALIZI - IFISI) INAYOMILIKIWA NA KANISA LA UINJILISTI
|
VIONGOZI WA BIMA YA AFYA YA TAIFA WAKIKABIDHI MASHUKA KWA UONGOZI WA
HOSPITALI YA MBALIZI-IFISI WILAYA YA MBEYA VIJIJINI LEO KATIKA WARD LA
WANAWAKE
|
VIONGOZI
WA NHIF WAKIKABIDHI MASHUKA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MBEYA LEO,
(kushoto) NI AFISA MFAWIDHI WA MFUKO HUO KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
MR. MUGANGA.
|
KAIMU
MKURUGENZI WA NHIF HAMIS MDEE (kulia), AKIMKABIDHI MASHUKA MGANGA MKUU
WA KITUO CHA AFYA CHA RUANDA KILICHOPO JIJINI MBEYA DR.
ELIOTH JOHN SANGA.
|
No comments:
Post a Comment