EDWIN HAMLI NA ISABELLA MUSHI WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM
Mdau
Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha mara baada ya
kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe na
kufuataia na hafla ya kukata na shoka kwenye ukumbi wa Water Front
jijini Dar es salaam usiku huu, hafla hiyo imehudhuriwa na ndugu
marafiki na jamaa wa maharusi katika kufanikisha
Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakivishana pete wakatia
walipofunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe leo.
baadhi ya wasimamizi wa harusi hiyo wakishiriki ibada ya harusi hiyo kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment