Header Ads

SHUKURANI SANA KWA WOTE WALIONITAKIA KHERI YA SIKU YA KUZALIWA




Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa wale wote walio/wasio nitakia heri ya kuzaliwa na wale wote waliotumia muda wao kuniandikia inbox maneno ya kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa,Walionitumia tigopesa/Mpesa na wadau wote kwenye MaishaKiasi & Bamiza Blog,Twitter&facebook na wale wote walionitumia ujumbe mfupi kwenye SMS, Whatsup na kupiga simu. bila kuwasahau familia yangu.
Nimeguswa sana na upendo wenu napenda kuchua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kwa yote maneno mazuri yaliyoonyesha upendo wenu juu yangu nashukuru sana na mwenyezi Mungu awazidishie Asanteni.

No comments:

Powered by Blogger.