Header Ads

Home Clouds FM Live post-feature-image WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA SOKO LA MWANJELWA MKOANI MBEYA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya Agosti 9, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi baada ya kutembelea soko jipya la kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya, Agosti 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiagana na viongozi wa serikali kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songwe Mbeya kurejea Dar es salaam Agosti 9, 2016. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe na wapili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa Zelote Stephene.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Powered by Blogger.