Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHEDEMA John Mnyika wakitazama kadi mpya ya mpigakura

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na
Naibu Katibu Mkuu ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHEDEMA John Mnyika
wakitazama kadi mpya ya mpigakura baada ya Waziri Mkuu, Kuzindua
uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika mji mdogo wa
Makambako Februari 24, 2015.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment