ZIARA YA WAZIRI WA HABARI BUNGI ZANZIBAR
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk akikagua
Jenereta linalotarajiwa kutumika pindi umeme utakapokosekana kituoni hapo.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk akizungumza
na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali mara baada ya kumaliza ziara yake
kituoni hapo.
Aliyenyoosha
mkono ni Mkurenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Nd. Hassan Abdalla
Mitawi akitoa maelezo kwa Waziri wa Habari Zanzibar.
Ni Mnara wa kurushia matangazo wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC)
ulioko Bungi Wilaya ya Kati Unguja. (Picha na Miza Othman Maelezo-Zanzibar).
Ni chumba chenye mitambo ya kurushia matangazo (Transmitter) kilichopo
katika Kituo cha Bungi Unguja.
Wa kwanza kulia ni fundi mkuu wa kituo hicho Nd. Ali Aboud Talib akitoa
maelezo ya kiufundi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar
Mhe. Said Ali Mbarouk wa kushoto. (Picha na Miza Othman Maelezo-Zanzibar).
No comments:
Post a Comment