Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Wawasili Zambia

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Saalm wawasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa
na mwenyeji wao Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi kwa ziara ya
kikazi ya siku mbili

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wawasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa
na mwenyeji wao Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi kwa ziara ya
kikazi ya siku mbili

Rais Kikwete na Rais Lungu wa Zambia wakipokea heshima ya mizinga 21 mara baada ya kuwasili.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment