Picha:Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga Akutana Kwa Mazungumzo na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China Lui Dong Jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi ya mchoro wa Kiutamaduni
Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa Chija hapa nchini Bw. Lui
Dong walipotembelea ofisi za Wizara ya habari leo jijini Dar es Salaam
|

Mshauri wa Masuala ya
Utamaduni kutoka Ubalozi wa China Lui Dong (Kushoto) akifananua jambo kwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga
alipotembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment