SOMA MAJINA YA BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI (UKAWA) LILOTANGAZWA NA KIONGOZI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI FREEMAN MBOWE




Kiongozi
wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai-Chadema Freeman
Mbowe akitangaza Baraza lake la mawaziri kivuli 28 na naibu mawaziri
12, na kufanya baraza lote kuwa na mawaziri 40.
No comments:
Post a Comment