MASHINDANO YA KUTAFUTA TIMU YA TAIFA YA MASUMBWI YAANZA LEO
Mabondia peter Stanley kushoto akipambana na Doto Shoka wakati wa mashindano ya kutafuta mabondia watakaoliwakilisha taifa katika mashindano ya kufunzu Olimpic mapema hivi karibuni (picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza kuangalia masumbwi
No comments:
Post a Comment