akila chakula cha mchana na watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika kituo cha kulelea watoto hawo cha NEW LIFE ORPHANS HOME kilichopo Kigogo Dar es salaam leo
Msimamizi wa Masoko wa Kampuni ya Mawasiliano ya
tigo Bw. Gaurdence Mushi katikati akila chakula cha mchana na watoto wa
kituo hiko leo
Zawadi zikipangwa kwa ajili ya kuwapatia watoto wa katuo hiko leo
Burudan ya sarakasi ikitolewa
Mkurugenzi wa Kituo hiko Bi.Mwanaisha Magambo
akiwaonesha maofisa wa kampuni ya tigo sehemu mbalimbali wanazoishi
watoto wa kituo hichoH
WAKIPATIWA MAELEZO KAMILI
warembo wa tigo waki shoo love mbele ya kamera ya burudan blog
No comments:
Post a Comment