Header Ads

TAKWIMU ZA KUPEANA TALAKA KATI YA WANAUME NAWANAWAKE KI UMRI

USHAURI WA BURE!!
Angalia takwimu hapo chini, karibu asilimi 40 ya wanaume waliooa kati ya miaka 20-24 wameacha familia zao kwa sababu ya umri. Kijana unatakiwa ukomae kwanza na pia upate muda wa kujiimarisha kiuchumi uli uweze kuwajibika vizuri kwa familia yako.

 Ikibidi kuoa chini ya miaka 25 ni sawa lakini chukua tahadhari. Ukitaka kujua kwamba unastahili au unazo sifa za kuoa chini ya miaka 25, jiulize masw...ali yafuatayo. 1. Je nikiudhiwa nakuwa mwehu au natumia busara kukabiliana na maudhi hayo, 2. Je nimejiimarishaje ili kuweza kulisha, kusomesha, matibabu na gharama kadha wakadha za kifamilia, 3. Je Tabia zile za kisharobaro na zinazofanan na hayo zimekoma au kupungua au bado zipo?. Mwisho, kama ni lazima kuoa katika umri mdogo, basi muda wa uchumba au dating uwe mrefu ili kufahamiana ni hisia na kitabia. mwaka mpaka miaka mitatu yafaa zaidi

No comments:

Powered by Blogger.