Baadhi
ya Watanzania wanaoishi DMV wajumuika na familia ya Kusaga kwenye
harambee ya kuchangia pesa ya mazishi ya ndugu yao mpendwa hayati,
Christavina Kusaga Cryor, na kufanikisha kuchangia kiasi cha fedha
taslim cha $3,420. Checks $3,420/ na ahadi $1,050, Jumla ni $8,801,
harambee hiyo ilifanyika jana Jumapili katika kanisa la The Way Of The
Cross liliopo Drive, College Park, Maryland Nchini Marekani.
Dada
Adela ambae ni Mke wa Shukuran Magoma wakisimamia harambee ya ndugu
yao mpendwa iliofanyika jana Jumapili Feb12, 2012 .
Ngugu jamaa na marafikia
waliohudhuria kwa wingi katika harambee ya kuchangi mazishi hayo.
Sunday Shomari akiwa Kaka Waitara
katika mpango mzima wa harambee ya kuchangia mazishi ya hayati Christavina Kusaga Cryorili.
Sunday
Shomari akiwa na Dada latifa kwa shuhuli ya kunadi vitu vilivyo
wakilishwa na Watanzania kwaajili ya harambee hiyo iliofanyika ndani
ya kanisa la The Way Of The Cross
liliopo Drive, College Park, Maryland Nchini Marekani.
Baadhi
ya watanzania waliohudhuria kwenye harambee hiyoo.Picha na Habari Kwa
Hisani ya Swahilivila Blogu
No comments:
Post a Comment